Spoti Hausi: Said Maulid ‘SMG’ Ampa Mchongo Lwandamina 4,526

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 WINGA wa zamani wa Yanga, Saud Maulid ‘SMG’ amemwambia Kocha Mkuu wa timu hiyo Mzambia, George Lwandamina kama anataka timu hiyo ipate matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, basi abadili mfumo na aina ya uchezaji anayoitumia. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 Yanga hadi hivi sasa tayari imecheza michezo mitano ya ligi kuu na kufanikiwa kupata ushindi kwenye mechi mbili pekee dhidi Njombe Mji na Ndanda pekee. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 Timu hiyo, ikapata sare hizo mechi dhidi ya Lipuli FC, Majimaji na Ndanda FC na kufanikiwa kupata pointi tisa. SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/